Haya Ni Maeneo Muhimu Unapoweza Kupata Kitabu Cha Nyuma Ya Ushindi Bila Usumbufu Wowote


Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. Kuishi leo ni nafasi moja nzuri sana ambayo haupaswi kuipoteza. Itumie kadri ya uwezo wako.

Nimekuwa nikikwambia kwamba miongoni Mwa vitabu ambavyo Unapaswa kuvisoma wewe hapo ni kitabu cha NYUMA YA USHINDI. kitabu hiki kimezungumzia somo muhimu sana ambalo watu wengi huwa hawapendi kukizungumzia ila huwa linatokea kwenye maisha, na somo hili sio jingine bali ni kushindwa.  Kuna watu huwa wanafikiri kwamba mafanikio ni bahati tu! Yaani wakiwaona waliofanikiwa basi moja kwa moja wanakimbilia kusema kwamba watu huwa walikuwa na bahati kubwa sana. Wengine wanasema kwamba waligusa tu mambo yakajipanga.

Wanasahau kwamba Nyuma Ya Ushindi huwa kuna kuanguka, kukataliwa, kukosea, kufanya mambo ndivyo sivyo, kupata usiyotarajia, kurudishwa nyuma na vitu au watu uliowategemea wakufanye usonge mbele. Kwa hakika, Nyuma ya shindi kuna kushindwa, kushindwa kushindwa.

Nimekuandikia kitabu muhimu sana ambacho kitakusaidia kuona kushindwa katika namna ya utofauti na upekee sana. Badala ya kuona kushindwa kama kushindwa, Unapaswa kuona kama daraja la wewe kusonga mbele ili uweze kufikia mafanikio makubwa sana. Ili uweze kuona haya, basi unahitaji jicho LA tatu. Ambalo Mimi huwa naliita jicho LA dhahabu. Sasa hili jicho unaliapataje, utalipata kwa kusoma kitabu cha NYUMA YA USHINDI.

Soma Zaidi; NYUMA YA USHINDI

Kwa sasa hivi kitabu hili unaweza kukipata katika maeneno yafuatayo bila usumbufu.

1.Mororogo  kwa JIMZ ambao unaweza kuwapata kwa nambari +255 754 210 627

2.  Bukoba anavyo Amoni Amosi +255 755 529 228

3. Mikoa mingine wasiliana na Mimi moja kwa moja ili nikutumie kitabu hili hapa. Asante sana.

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X