Ndoto Haziwi Ukweli Ukiwa Umelala


Kila mtu ambaye anaishi kwenye dunia hii ana ndoto kubwa. Iwe ameiandika sehemu au hajaiandika.
ndio maana utasikia watu wanasema wangependa kuoa mke mzuri kuolewa na mme mzuri (hii ni ndoto)
Utasikia wengine wanakwambia wanataka kuwa mamilionea (hii nayo ni ndoto)
Wengine wanapenda kuwa wanamziki, waigizaji, wafanyabiashara maarufu (hizi pia ni ndoto)

Kitabu hiki kipo kwa ajili yako. Kinapatikana kwa sh. 10,000/-

Kuwa na ndoto ni sehemu ya kwanza ya shilingi. Kufanya kazi ili kuifikia ni upande wa pili. Kwa kuwa haitoshi tu wewe uwe na ndoto. Unapaswa kuwa mtu wa vitendo.

Onesha kile ambacho unapenda katika matendo. Kifanye kiwe uhalisia. Kamwe usikubali kulala wakati unazo ndoto kubwa ndani yako. Matendo ndio huleta ndoto katika uhalisia. Kila siku kazana kuweka matendo zaidi badala ya kuwa mtu wa maneno zaidi.

Soma Zaidi; Hii Ndio Sehemu Unapoweza Kukimbilia Unaposhindwa Kutimiza Malengo Yako

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X