SEMINA YA KUFUNGUA MWAKA; 2019 Mwaka Wangu Wa Kung’aa


Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Leo ni siku ya kipekee sana kuliko siku yoyote ile ambayo umewahi kuiona.
Zikiwa zimebaki siku chache sana kuumaliza mwaka  huu. Naomba sasa uanze kujiuliza malengo yako uliyoyaweka mwanzoni Mwa mwaka huu yamefikia wapi? Je, umetimiza mangapi? Je, malengo gani hujatimiza? Kwa nini?

Katika kitabu Chake cha From Victim To Victor, Joseph Musharika anasema, “watu wengi wanaoweka malengo yako huwa hawakumbuki hata sehemu walipoyaandika inapofika mwishoni mwa mwaka”! Huu ni usemi usiopingika, huu ndio ukweli haswa!
Nimekaa na kujiuliza ni vitu gani vinawafanya baadhi ya watu watimize malengo yao na wengine wasiweze kutimiza malengo yao. Je, kitu gani kinawakwamisha? 
 Sasa mwanzoni mwa mwaka kesho tunaenda kuwa na semina ya kufungua mwaka. Ambapo kati ya mambo yatakayofundishwa ni haya yafuatayo;
1. Jinsi ya kuweka malengo na kuyatimiza Ndani ya mwaka 2019
2. Sheria Muhimu Utakazotumia Katika Kutimiza Malengo Yako 2019
3. Mambo kumi (10) yatakayokufanya ujing’arishe na kujenga jina lako 2019

4. Tabia Kumi unazopaswa kuzibeba ili kutembea Mwaka 2019 Kwa Ushindi

Semina hii itakuwa ni ya wiki moja mfululizo kwa njia ya mtandao. Ila itakuwa ni wiki ya kipekee sana. Semina hii itaendeshwa kwa njia ya mtandao Wa wasapu.

Mwisho ya semina hii, Kila mshiriki atapewa kitabu kimoja kama zawadi kati ya Vitabu vyangu ambavyo nimeandika. Kama umesoma vitabu Vyangu vyote, basi wewe utapata zawadi ambayo naiita zawadi ya watu muhimu sana (V.I.P).

Semina hii itaendeshwa kwa njia ya mtandao wa wasapu kuanzia tarehe  21 januari mpaka tarehe 27.
Gharama ya semina hii ni shilingi 10,000/- tu za kitanzania. Na malipo yatafanyika kupitia 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA.

Mwisho wa semina hii kama mtu utakuwa hujapata thamani inayozidi hela uliyotoa utanitumia ujumbe mfupi  na kuniambia kwamba hujapata ulichotegemea kupata na hivyo nikurudishie pesa yako. Nitakurudishia pesa yako bila kukuuliza swali la ziada. Karibu sana, malipo yataanza kufanyika tarehe 20 disemba na mwisho wa kulipa ni tarehe 15 Januari 2019.

Karibuni sana 2019!
MALENGO MAKUBWA + HATUA KUBWA= MATOKEO MAKUBWA

2019 ni mwaka wangu, nauanza kwa utofauti ili niumalize kwa utaofauti

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X