Sheria Muhimu Unazopaswa Kuziishi


 1. Ongea kidogo zaidi ya wengine wanavyoongea.

2.shinda kwa matendo wala sio maneno.

3. Omba msaada pale unapouhitaji.  Usitake kushinda peke yako, tafuta kuwafanya with watu wengine ndipo na wewe utshinda zaidi (win-win)

4. Tumia kutokiwepo kwako, kufanye kuwa kwa manufaa.
Ni bora watu wakasema, kwa nini sijakuona muda mrefu, kuliko watu kuuliza, hivi na leo umerudi?

Uchambuzi wa Kitabu; SCREW IT, LETS DO IT

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X