Ni ukweli kwamba ukitaka kufanya mambo yasiyo ya kawaida, lazima ufanye maandalizi yasiyo ya kawaida. Maandalizi haya yatahusisha kutoa jasho jingi sana na kufanya kazi muda mrefu. Hii ni gharama unayopaswa kuilipa.
Ila kumbuka kwamba maandalizi haya yasiyo ya kawaida yatakulipa pia katika namna ambayo sio ya kawaida. Ndio maana Robin Sharma anashauri kwa kusema, “ukitoa jasho jingi wakati wa maandalizi utavuja damu kidogo wakati wa vita”. Hii ndio kusema kwamba utapata matokeo saafi kabisa
Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391
KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA
KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA