Hivi Ndivyo Wewe Unaweza Kuungana Na Mimi Katika Kujenga Chuo Kikuu Kikubwa Sana Barani Afrika


Waafrika wanasema kwamba ukitaka kwenda haraka basi tembea peke yako ila ukitaka kufika mbali basi tembea pamoja na watu. Ni msingi huu unaonisukuma kusema kwamba sitasafiri peke yangu katika safari hii ya kujenga chuo kikuu bora na kikubwa  sana barani Afrika. Miongoni mwa watu  nitakaotembea nao ni wewe hapo.

Usiogope na kudhani kwamba utabeba mzigo ambao Mimi nakwenda kuubeba. Mzigo wangu ni mkubwa na wewe huwezi kuubeba ila wewe utakuwepo tu kunisukuma ili niongeze kasi kwenye safari yangu.

Siku si nyingi nitaeleza sifa za chuo kikuu ambacho nitajenga ila kwa sasa napenda  ujue tu namna ya kushiriki kujenga chuo hiki. Unaweza kushiriki kwa kununua bidhaa yangu yoyote. Kupitia biashara ninazofanya Sasa hivi haswa kupitia vitabu na maarifa ninayouza, na wewe unaweza kuungana nami kwa kuwa mnunuaji na msomaji wa kile ninachoandika basi. Ukinununua kitabu  kimoja cha shilingi elfu tano au elfu kumi. Unakuwa umenichangia dola mbili mpaka nne. Kwenye yale mabilioni ya pesa yanayohitajika  nafasi yako inakuwa ni ya thamani sana maana unakuwa umepunguza kiwango chake.

 Nitafurahi sana kuona wewe unaungana na mimi katika safari ili tutimize usemi wetu waafrika unaosema, ukitaka kufika haraka tembea peke yako ila ukitaka kufika mbali nenda pamoja na watu. Mpango wangu ni kufika mbali na nitaenda na watu ukiwemo wewe.

Kama unapenda kuchangia basi nunua kitabu kimojawapo kati ya hivi.
1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI (tsh 10,000)

2. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (tsh10,000)

3. NYUMA YA USHINDI tsh. 5,000

4. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA (tsh.5,000/-)

5. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO (tsh7,000/-)

Kwa Sasa napatikana kupitia nambari 0742854498. Tuma pesa pia kupitia hiyo nambari.
Baada ya hapo nitumie ujumbe kwa wasapu wenye jina la kitabu ulicholipia na email yako. Nitakutumia kitabu punde baada ya kupokea email yako.

Soma Zaidi: Hii Ndio Njia Nitakayoitumia Kujenga Chuo Kikuu Barani Afrika (HARVARD OF AFRICA)

Umekuwa nami,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA
KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X