Biashara sio kitu kigeni kwenye zama hizi. Zimekuwa zikifanyika tangu enzi na enzi tokea zama za mababu na mababu wetu.
Mambo yote yanayotokea sasa hivi yaluwahi kutokea zama zile. Kitu pekee amhacho kimebadilika kwenye zama hizi ni mfumo wa ufanyaji biashara.
Mfumo was sasa umeleta uharaka katika utendaji. Wakati mababu zetu walisafiri umbali mrefu sana ili kubadilishana bidhaa, kwenye zama za Sasa unaweza kufanya kununua na kuuza ukiwa nyumbani kwako.
Sasa kitu gani unaweza kujifjnza kutoka kwenye historia?
Historia inaonesha kwamba nyakati ngumu huwa zinazitokea biashara, watu binafsi na pengine mahusiano ya watu.
Hivyo wewe cha kufanya ni kuhakikisha unajiandaa na wakati mgumu wowote ambao unaweza kutokea kwako. Ili ukitokeaa kwa kwako usije ukahangaika hata kidogo. Hiyo ndivyo unaweza kunufaika na historia
Umekuwa nami,
Godius Rweyongeza
0755848391
KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA