HII NI NJIA BORA YA KUPOTEA


Katika maisha kama unataka kupotea, basi anza kuwaiga wengine. Anza kuishi kama wengine na fanya kama ambavyo watu wengine wanafanya. Hii ni njia bora sana ya kupotea.

Kuna wewe mmoja tu. Na unapaswa kujisikiliza kwa umakini sana. Usifanye kitu kutaka kuwaridhisha wengine, tafuta kujiridhisha mwenyewe

Usitafute kuonekana na wewe umo, jiridhishe wewe kwanza. Mtu mmoja amewahi kusema kwamba kuna watu wanatumia kiasi kikubwa cha hela zao kunununua vitu ili kuwaridhisha watu ambao hata hawana muda wa kuwaangalia.
Usiwe wewe.

Tukutane kesho kwenye makala ya 600.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X