makala hii iliandikwa kwa mara ya kwanza machi 23 2017
Kazi kubwa sana ya vyombo vya habari ni kuyoa habari
Kazi ya jembe ni kulima
Kazi ya kalamu ni kuandika
Kazi ya gari ni kusafirisha watu
Kazi ya maji kukata kiu
Kazi ya chakula ni kusjibisha wenye njaa na kutoa virutubisho
Kazi ya
Je wewe kazi yako ni ipi?
Itafute kazi yako ambayo unapaswa kuifanya na uifanye.
S.M.B
Godius Rweyongeza.