THINK DIFFERENT AND JUST DO IT


Baada ya kurudi kwenye kampuni ya apple mwaka 1997, Steve Jobs alirudi na falsafa ya THINK DIFFERENT. Wakati huo huo kampuni ya NIKE ya Phil Knights ilikuwa na falsafa yake ya JUST DO IT ambayo walianza kuitumia miaka ya themanini.

Binafsi nazipenda falsafa hizi mbili.
Kwanza falsafa ya Jobs ibakuhitaji kufikiri tofauti. Nimekuwa nikisema sana kwamba katika maisha unahitaji kujitofautisha mwenyewe la sivyo utakufa. Ujitofautishe mwenyewe kuanzia namna unavyofikiri,
Kwa Vitabu unavyosoma,
Kwa watu unaojenga nao urafiki na
Kwa mitandao ya kijamii unayotumia.

Na niwe tu mkweli falsafa nzima ya think different inahusisha akili yako tu!

Sasa ukishafikiri tofauti nini kinafuata? Hapo ndipo JUST DO IT inaigilia katikati.
Kama kuna kitu unataka kufanya JUST DO IT.
Kama kuna kozi unataka kusoma (iwe mtandaoni au chuoni). JUST DO IT
kama kuna kitu unataka kumwambia mtu, JUST DO IT
Kama umefikiria wazo JUST DO IT. Kumbuka mawazo hayawezi kuwa uhalisia mpaka u JUST DO IT.

Mwa hiyo kila siku  fikiri tofauti katika kila unachofanya na JUST DO IT

THINK DIFFERENT AND JUST DO IT

#see you at the top

Umekuwa nami,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X