NI MATATIZO YANAYOTANYA TUKUE, BILA MATATIZO TUSINGEKUA


Kama kuna misingi umeamua kuifuata kwenye maisha hakikisha unaifuata bila kujali upo katika hali gani. Uwe umekutana na changamoto au mambo yanaenda vizuri. Misingi ni misingi tu ifuate.

Kumbuka kwamba “ni matatizo yanayotufanya tukue, bila matatizo hakuna ukuaji”.

Tatizo la Steve Jobs kufukuzwa Apple ndilo lilimfanya   aje kugundua zaidi na kuwa baba wa digitali.
Ila kipindi yuko nje ya apple hakuacha kufuata misingi yake. Aliifuata haswa.
Aliifuata pia baada ya kurudi apple.

 Kumbe kama kuna misingi umeiweka maishani, basi ifuate katika hali yoyote ile unayokutana nayo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X