Viashiria Saba Vinavyoonesha Kwamba Umaskini Utakuandama Maisha Yako Yote


Kila mtu anapenda kufanikiwa. Hata mtoto ana uwezo wa kutambua na kujua kwamba kitu fulani ni bora zaidi ya kingine. Ndio maana utasikia mtoto mdogo anawaombea wazazi wake wapate gari, wanunue ghorofa na vitu vingine kama hivyo.

Hii ni ishara ya waziwazi kwamba utajiri unapendwa na kila mtu. Na ni ukweli usiopingika kwamba utajiri ni muhimu. Mbali na kwamba utajiri ni muhimu. Kuna watu ambao huwa wanafanya vitu vya kuwaondolea utajiri.
Ukikuta unafanya vitu vifuatavyo jua kwamba kwako, utajiri utausikia redionj maisha yako yoye.

1. Ukipata hela unatumia yote
2. Unajikopesha kutumia hela ili uje ulipe kwa hela ambayo hauna mkononi.
3. Huongezi maarifa kuhusu pesa.
4. Unalala sana zaidi ya mtu mwingine chumbani kwako
5. Unalalamikia serikali, wazazi na watu wengine kwa makosa yako.
6. Unasubiri mabadiliko yasavaboshwe na watu wengine. Wewe sio msababisjaji waabasiliko.
7. Zembea kazi, wakati wa kazi jifiche.
8. Hairisha mambo ya leo kufanya kesho.

Hivi ni viashiria sita vya waziwazi kwamba utajiri utabaki kuusikoa redioni. Ila kama una moyp na ungependa uupate utajiri fanua kinyume chake.
1. Weka akiba matumizi madogo zaidi ya mapato)
2. Usikope
3.  Ongeza maarifa yako kuhusu pesa kwa kusoma Vitabu vinavyohusu pesa.
4. Amka mapema na fanya kitu ambacho wengine hawafanyi
5. Usilalamike. Fahamu kwamba maisha ni wajibu wako. Ukishinda ni juu yako, ukishindwa ni juu yako pia.
6. Kuwa sehmu ya mabadiliko. Fanya kama ambavyo Mahatma Gandhi anasema, “kuwa sehemu ya mabadiliko ambayo unapenda kuyaona”.

7. Fanya kazi kwa bidii.
8. Fanya kazi ya leo, siku hii ya leo. Usisubiri mpaka kesho


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X