Kama Unashindwa Kutendea Madogo haki, Makubwa Yatakushinda


Kama unashindwa kutendea madogo  haki. Hata makubwa yatakushinda
(jifunze kitu hiki hapa ambacho ulikuwa hukijui)
Kunaa watu wanasema kwamba watakapokuwa na mamilioni ya pesa ndipo wataanza kuweka akiba, na ndipo wataanza kutumia pesa zao vizuri. Ukweli ni kwamba kama unaweza kutumia vizuri kile kidogo ulichonacho leo hii na kukifanya kiweze kuongezeka zaidi basi hata kikubwa ukikipata hakitakupa shinda kuweza kukuza zaidi.
Usiseme kwamba nasubiri mpaka niwe na mamilioni ya pesa ndio nianze kufanya matumizi mazuri ya pesa. anza na hiyo mia tano ambayo umeipata leo. Ifanyea hiyo mia tano iweze kukuongezea pesa zaidi na zaidi. Je, hiyo pesa kidogo sasa hivi ikiiingia mkononi  mwako inasababisha kuongezeka au kupungua?


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X