KANUNI ZA KUWEKEZA HAZIJABADILIKA


“For me, nothing has really changed in terms of those basic principles:
you start with what you have, you do what you can, you invest what you
get, so that you can do bigger and bigger things

japo kumekuwa kunatokea mapinduzi makubwa sana kwenye sekta za teknolojia na sekta nyinginezo. Ila linapokuja kwenye suala zima la kuwekeza pesa na kutengeneza utajiri. Kanuni bado ni zile zile. BILIONEA STRIVE MASIYIWA ANASEMA KWAMBA kwa miaka yote ambayo yeye amekuwa akifanya uwekezaji kanuni za uwekezaji hazijabadilika.

Na kanuni zenyewe ni kwamba
1.Unapaswa kuanza na kile ulichonacho
2. unafanya unachoweza
3. unawekeza unachopata ili uweze kupata kikubwa zaidi na kufanya makubwa zaidi.

Tuzichukue kanuni hizi kutoka kwa bilionea mkubwa barani afrika na tuzifanyie kazi.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X