JAMANI NIACHENI NISEME KITU HIKI KIMOJA SIKU YA LEO. YATAKAYOBAKI TUTAONGEA KESHO


Leo hii ni siku njema sana. Kwanza nichukue muda huu kukutakia kheri sikuu ya krismasi  na mwaka mpya. Baada ya kusema hayo naomba uniache sasa niseme kitu kimoja tu yatakayobaki tutaongea kesho.
 Najua tangu asubuhi umesikia mengi kutoka kwa watu ila kitu kimoja kitabadili maisha yako kabisa. Hivyo basi niache kabisa niseme hiki kitu kimoja tu, yatakayobaki tutaongea kesho.
Kitu hiki sio kingine bali ni juu ya kitabu hiki ambacho naona kinaenda kubadili maisha yako kabisa. kitabu kitakachokupa mwongozo juu ya ndoto zako. Na kitabu hiki sio kingine bali ni kitabu cha YUSUFU, NINA NDOTO
Naomba uniache niendelee kidogo. Kuna kitu nataka kusema hapa. yatakayobaki tutaongea kesho.
Kama ambavyo mwalimu anakuwa na kiongozi cha mwalimu wakati anafundisha wanafunzi na
Kama ambavyo mchungaji anakuwa na roho mtakatifu kumwongoza kwenye kazi zake za kichungaji na
Kama ambavyo mchezaji anakuwa na kocha wake wa kumfundisha mpira
Kama ambavyo nyumba inakuwa na mhandisi wa kuijenga
Vivyo hivyo ndoto yako inahitaji kitabu hiki. Ndio ni kitabu cha YUSUFU NINA NDOTO.
Ukiwa na kitabu hiki utapata kuona kwamba ndoto yako inawezekana kutimia bila kujali ukubwa wake. Bila kujali watu wanaikubali au wanaikataa, bila kujali kuwa una connection na watu wengine au la! Bila kujali umewahi kufanya makubwa au la! Ndio maana leo hii nilitaka nikwambie hiki kitu kimoja ili yatakayobaki tuongee kesho.’
Kitabu hiki hapa kimeandikwa na mwandishi mahiri ambaye ni Edius Katamugora. Mwandishi huyu ambaye tayari alishatuandikia kitabu cha BARABARA YA MFANIKIO pamoja NA kitabu cha NMANA YA KUWA MTAALAMU UKIWA BADO UNASOMA. Sasa zamu hii tunapoanza mwaka mpya 2020 ameamua kutupa kitabu cha kipekee ambacho ni YUSUFU NINA NDOTO. Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe mwenye ndoto.
SOMA ZAIDI: Hii Ni Barabara Ambayo Unaweza Kuichukua

Kikubwa zaidi  ni kwamba kitabu hiki hapa kitaanza kupatikana kuanzia tarehe 11 januari 2020. Na hivyo ndivyo tutaufungua mwaka mpya. Kitabu hiki kitapatikana kwa shilingi 10,000 tu.
Hii ni kweli ni zawadi ya mwaka mpya 2020. Na ndio maana niliona nikwambie kitu hiki kimoja tu ili mambo mengine yote yanayobaki tuje tuyaongee kesho.
Rafiki yangu utapaswa kuweka koda ya kitabu hiki mapema iwezekanavyo.
 Cha kufanya sasa hivi
1. chukua simu yako.
2. mtafute mwenye namba hii hapa 0764145476. Ambaye ni Edius Katamugora.
3. kisha lipia 10,000 tu. ili uweze kuwa miongoni mwa watu watakaopokea kitabu siku hiyo ya tarehe 11 saa 11 kabla jogoo hajawika.
Soma Zaidi; Maajabu Ya kitabu Cha Barabara ya Mafanikio
Wahaya wanasema anayekusaidia usiku huwa unamshukuru kukicha. Sasa ninachokwambia sasa hivi ni kitu ambacho najua wazi kitakuja kusaidia maisha yako. Ila shukrani pekee ninyotaka kutoka kwako ni kufanyia kazi utakayojifunza kwenye hicho kitabu. Ukishasoma mwambie na rafiki yako asome na kufanyia kazi.
Nataka siku moja tukutane kwenye meza ya wanamafanikio kwa pamoja. Naamini siku hiyo tutaongea sana. Siku hiyo utaniambia ulivyosoma kitabu hiki kikabadili maisha yako.
Hivyo weka oda yako leo hii ili tuje tukutane mwaka huo kwenye mzunguko wa wanamafanikio.
Makala hii imeandikwa na GODIUS RWEYONGEZA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X