Salamu Za Krismasi Kutoka Kwa Godius Rweyongeza


Habari ya leo. Nichukue nafasi kukutakia kheri ya sikukuu za Krismasi na mwaka mpya.

Kwa mwaka mpya 2020. Kuna Mambo haya nisingependa uyakose.

1. Kwanza kabisa nisingependa ukose kupata kitabu kimoja cha kiswahili kila mwezi kwa njia ya (PDF).
Kwa sababu nathamini mafanikio yako, basi nitahakaikisha nakuandalia kimoja na kukupa kila mwezi. Wewe mwenyewe utakipenda na ukifanyia kazi unachosoma. Basi utazidi kusongambele

2. Sipendi ukose   kutapata masomo mapya ambayo huwezi kuyapata sehemu nyingine, pamoja na chambuzi  za vitabu kila siku.

Hivyo inaenda kukuandalia pia hivi vitu. Labda ushindwe wewe tu.

3. Nisingependa ukose  mjadala mzuri wa  kila siku jioni. Ambapo mimi nitakuwa  naanzisha huo mjadala kwa kutoa mambo niliyojifunza ndani ya siku husika.

Haya yatakuwa ni Mambo mawili au zaidi ambayo na wewe unaweza kuyafanyia kazi na kuboresha maisha yako kuanzia unapoyasoma au kesho yake.

 Na wewe utatushirikisha ya kwako uliyojifunza ndani ya siku husika na wengine watafanya hivyo.

4. Pia nisingependa ukose darasa moja maalumu ambalo linatolewa kila wiki.

Ili uweze kupata hayo yote utapaswa kuwa kwenye kundi la think big for Africa. Na utalipia ada kidogo tu ya 2000/- kwa mwezi mmoja.

Ambayo ni sawa na 10,000 kwa miezi mitano. Je, ni kweli utaamua kujikwamisha mwenyewe?
Ebu amua kulipia hiyo gharama Leo kupitia 0755848391 jina Godius Rweyongeza Kisha nitumie ujumbe mfupi ili nikuunge kwenye kundi.

JIUNGE NA THINK BIG FOR AFRICA ndani ya mwaka 2020. Utaona kwa nini 2020 haitakuwa sawa na 2020.

Imeandikwa na Godius Rweyongeza


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X