Hiki Ni Kioo Kitakachokuonesha Kiuhalisia Wapi Utakuwa Miaka Mitano Ijayo. KIOO HAKIDANGANYI


Miaka mitano ijayo utakuwa jinsi ulivyo isipokuwa kwa vitu viwili tu! watu unaokutana nao pamoja na vitabu unavyosoma.

Sasa swali langu kwako ni je, leo hii unasoma vitabu gani? Je, leo hii unaambatana na watu gani?

vitabu unavyosoma vina uwezo wa kubadilisha maisha yako kwa kukupa aina mpya ya maarifa ambayo hukutegemea. vina uwezo wa kukuinua na kukufanya uzidi kusonga mbele  kwa hiyo unapaswa kuamua haswa kusoma vitabu ambavyo vitakujenga haswa wewe na kukufanya uzidi kusonga mbele.

pia amua kuambatana na watu ambao watakupa motisha ya kusongambele. sio wale wanaokukatisha tamaa na kuona haiwezekani kwenye kila kitu unachofanya.

kuna video nzuri nimekuandalia kwenye mtandao wa Yourube. unaweza kuendelea kujifunza zaidi kuhusu saikolojia hii ya kipekee sana.

https://youtu.be/LrBROehGr64

👆usisahau KUSUBSCRIBE ili uendelee kuwa wa kwanza kupata video nzuri zaidi kutoka kwangu

haya twende👇

https://youtu.be/LrBROehGr64


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X