Hivi ndivyo unaweza kumnasa mtu anayesema uongo


Ukiwa unaongea  na mtu rahisi sana kutambua kwamba mtu huyu anasema ukweli au hasemi ukweli. japo unaweza kumwangalia mtu kupitia lugha ya mwili. maana inakuwa ni rahisi sana kwa kutumia njia hii.

Niliwahi kufundisha masomo ya lugha ya mwili kupitia kwenye kundi la THINK BIG FOR AFRCA. Hata hivyo siku ya leo sio kwamba nazungumzia lugha ya mwili.

Siku ya leo napenda tu niongelee kitu rahisi. Kitu hiki ni kumsikiliza mtu anavyoongea. Mtu ambaye anasema uongo atakuwa anazunguka zunguka kwa kusema maneno mengi wakati wewe umemwuliza swali ambalo linahitaji jibu la NDIO  au HAPANA.

Kwa hiyo ukiona mtu anazunguka huku na kule katika kuongea basi ujue kwamba hiyo ni ishara wazi ya kusema uongo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X