Kwa kila sekunde inayopita, mtandao wa google unapokea maombi 40,000. Hawa ni watu mbalimbali wanaotafuta majibu ya maswali yao kwenye mtandao huu.
KWA NINI WATU WANATAFUTA MAJIBU GOOGLE?
KWA NINI WATU WANATAFUTA MAJIBU GOOGLE?
Moja ni kwa sababu majibu waliyonayo hayatoshelezi hivyo wanatafuta suluhisho jipya.
Pili, kwa sababu hawajawahi kupata suluhisho la swali hilo kabisa maishani mwao. Hivyo njia pekee ni kukimbilia Google kuona kama kuna mtu ambaye anweza kutoa suluhisho.
SASA HILI LINA MAA GANI KWAKO?
Hii maana yake kwamba, ukiweza kujibu swali moja tu kati ya hayo 40,000 ambayo yanaulizwa kila sekunde basi utakuwa umeweza kuwasaidia watu kupata kile WANACHOTAKA.
Hii maana yake kwamba, ukiweza kujibu swali moja tu kati ya hayo 40,000 ambayo yanaulizwa kila sekunde basi utakuwa umeweza kuwasaidia watu kupata kile WANACHOTAKA.
Na kumbuka kwamba, unaweza kupata kitu chochote unachotaka kama utawasaidia watu kupata kile WANACHOTAKA.
Wewe, hapo ulipo umebeba majibu ya maswali ya baadhi ya watu. Kwa nini hutaki kuyatoa ili uwasaidie.
Ebu chukua hatua leo uanze kujibu walau swali la mtu mmoja kuanzia siku hii ya leo.
USIBANIE HAYO MAJIBU UMEPEWA WEWE KWA AJILI YANGU. Nisaidie mimi kujibu maswali yangu ili nikulipe.
Asante Sana.
Kitabu hicho unachokiona kwenye picha ni nakala tete (soft copy), na kinapatikana kwa 5,000 tu. Kichukue leo ili kikupe msingi wa kuanzisha kitu kitakachotoa majibu ya maswali ya watu.
Lipia kwa nambari 0755848391 jina Godius Rweyongeza Kisha nitumie ujumbe wenye neno BIASHARA ili nikutumie kitabu
Usisahau pia kuingia YouTube Leo na kuangalia video hii yenye masomo matatu ya kibiashara. https://youtu.be/GuLZ97G34bQ
Karibu sana