SHUKRANI ZANGU ZA KIPEKEE KWA MTU HUYU HAPA


Rafiki yangu, nitakuwa sio mtu mzuri sana kama sitatoa shukrani kwa watu ambao wananijali maishani mwangu. na leo hii mtu wa pekee ambaye ningependa kutoa shukrani hizi za kipekee kwake mi WEWE.

Kiukweli napenda sana kukushukuru kwa sapoti yako kubwa. Bila shaka kama wewe usingekuwa unasoma makala hizi kwenye hii blogu na mitandao mingine ambayo ninaweka makala basi kazi yangu ingekosa maana. Hivyo nipende kukushuru sana.

Pamoja na shukrani zangu, siku ya leo nina taarifa MOJA  muhimu kwako.
TAARIFA  HII ni kwamba kuanzia leo nitakuwa nakuwekea video nzuri sana kwenye mtandao wa you tube. Video hizi zitakuwa zinakujia kila siku.
kwa mwezi wa pili nategema kukuweka mpaka video 25 kwenye channel yangu. Video hizi hazitakuwa na urefu maalumu, ila ni ukweli kwamba zitakuwa na somo muhimu na hatua za kuchukua kwako. Hivyo kaa mkao wa kula.

Cha kufanya sasa hivi, ingia youtube, uangalie video hii hapa, https://youtu.be/ZK5iBKkIdp0
kisha uhakikishe UNASUBSCRIBE na kuobonyeza kitufe cha kengele. Kitu hiki kitakuwezesha kupata taarifa za video mpya tunazotoa ili uwe unazipata mapema.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X