Rafiki yangu kama umekuwa unajiuliza ni wapi unaweza kupata kitabu cha sifuri mpaka kileleni, siku ya leo ningependa ni kwambie kwamba kuna mawakala ambao wanaweza kuwa karibu yako kabisa na hivyo wakakusaidia kukupatia kitabu popote pale ulipo hapa nchini.
Hivyo nimeona wazi kwamba nikuwekee orodha ya hawa watu ili kama kuna mtu ambaye yuko karibu yako, basi uweze kuwasiliana naye mara moja akufikishie kitabu. Kama kwa sasa hivi hakuna wakala mkoani kwako, basi tunaweza kuwasiliana ili mimi mwenyewe nikutumie kitabu au wewe mwenyewe rafiki yangu unaweza kujitolea kuwa wakala wa kitabu hiki hapa.
Ifuatayo ndio orodha rasmi ya mawakala wa kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI.
ARUSHa, ELIA JACOB 0766 051 624
TABORA, 0621 090 107
DAR, KHALIFA, 0653 118 448
DAR, DAMIAN, 0786 780 879
DODOMA 0768 242 953
MBEYA, REBEKA, 0744 241 744
MBEYA, EDIUS, 0758 594 893
MBEYA, MAKRINA, 0757 448 143
MIKOA MINGINE ILIYOBAKI, kwa mikoa mingine iliyobaki unaweza kuwasialiana nami moja kwa moja kupitia nambari ya simu 0755 848 391. Kisha nitakutumia.
Lakinni pia kama unavyoona rafiki yangu. Bado wanahitajika mawakala zaidi kwenye mikoa mingine zaidi. Hivyo basi nihukua nafasi hii kukuomba wewe hapo kuwa mmoja wa mawakala wa kitabu hiki cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Naomba tuwasiliane kwa simu 0755 848 391 sasa hivi. Karibu sana.
SOMA ZAIDI: Shukrani Zangu Na Taarifa Rasmi Za Upatikanaji Wa Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni
Ni mimi anayejali mafanikio yako
GODIUS RWEYONGEZA
KUWA MIONGONI MWA WATU AMBAO WANAPOKEA MAKALA MAALUMU KWA WATU MAALUMU KWA KUBONYEZA HAPA