KITABU NI LENZI


Siku zote kuwa unasona kitabu, maana kitabu ni lenzi ya kuiona dunia vizuri.

Kama kuna kitu ambacho hukielewi, chukua kitabu usome.
Ukikwama, chukua kitabu usome.
ukiwa hauna cha kufanya, chukua kitabu usome.
ukiwa na fikra hasi, chukua kitabu usome. ila ukweli ubaki kuwa siku zote kuwa unasona kitabu  Maana kitabu ni lenzi ya kuona dunia vizuri.

kazi ya kufanya leo. Kama una kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni soma ukurasa wa 75 pale ilipoandikwa INALIPA ZAIDI KUANZA, ILA INALIPA ZAIDI UKIFANYA HIVI…..
Nenda mpaka usome hiyo historia ya fupi Rodriguez.
Kama hujapata kitabu tuwasiliane 0755848391 bei ya kitabu ni 10,000 tu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X