The Mamba Mentality


Huwezi kupenda kuufikia ukuu wakati bado unaendelea kutembea kwenye mstari mnyoofu. 

Kama unapemda kufikia mafanikio basi ni wazi kwamba utapaswa kunyanyuka hapo ulipo. kuchukua hatua za ziada na kusongambele.
Kuwa tayati kuchukua hatua amabazo hujawahi kuchukua.
Kuwa tayari kujaribu vitu hata kama wengine wataona havifai.
kuwa tayari kuipigania ndoto yako.
Ukuu hauji kizembe kizembe. Ni mchakato.
Nakutakia asubuhi njema.
NB: NIMESOMA Kitabu cha Kobe Bryant cha #TheMambaMentality na kujifunza mengi sana kuhusu kuufikia ukuu. Nipo nakuandalia masomo haya muhimu na nitaweka Kwenye channel Ya youtube.
Hakikisha umesubscribe leo ili masomo haya yakiwa tayari uwe wa kwanza kuyapata
https://www.youtube.com/channel/UCRGDR3d_Pt-TeRxSlF3ORzQ
SUBSCRIBE


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X