Ushauri muhimu kwa mtu anayetaka Kubobea kwenye Uandishi


Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo, nimekuja na ushauri kwako wewe ambaye ungependa kubobea kwenye uandishi. Kuna namna mbili za wewe kuweza kuwa mwandisho bora.
Kwanza ni kuhakikisha kamba unaandika mara kwa mara. Kitu hiki kitakufanya uwe unaboresha uandishi wako kila unapoandika na hivyo kukufanya uwe mbobezi baada ya kipindi fulaini cha muda.
Pili, ni kusoma vitabu vingi sana. Kadri unavyosoma vitabu vingi sana unakutana na maandishi ya watu  mbali mbali ambao pia wana uandishi wa kila aina. Kwa jinsi hii na wewe unakuwa na uwezo wa kubadili uandishi na kuboresha uandishi wako.
Asante sana rafiki yangu, binafsi nikutakie kila la kheri na nikutakie siku njema sana. Je, wewe unaenda kutumia mbinu gani kwenye uandishi wako?
JIUNGE NA MFUMO WETU WA KUPOKEA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM HAPA
kama utapenda kujifunza zaidi kuhusu uandishi tuwasiliane kupitia hapa
Ni mimi anayejali mafanikio yako,
GODIUS RWEYONGEZA

KUWA MIONGONI MWA WATU AMBAO WANAPOKEA MAKALA MAALUMU KWA WATU MAALUMU KWA KUBONYEZA HAPA

SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU YA YOUTUBE HAPA


JIUNGE NAMI KWENYE NURU ANGAZA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X