Kubali Kuwa umekosea, jisamehe kisha SONGAMBELE


Rafiki yangu kukosea ni sehemu ya maisha. Unaweza Kuwa umezaliwa kwenye jamii ambayo inapenda ukamilifu. Hilo lisikutishe unapoksea.
Hata hivyo hakuna yeyote atakayekuua. Hivyo jitoe kufantia kazi Ndoto na malengo yako. Kitu kikubwa kwenye kukosea ni Kuwa
1. Unapaswa kujifunza somo
2. Kuchukua hatua
3. Kuendelea mbele.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X