Habari ya siku ya leo rafiki. Leo nimeleta kwako zawadi ambayo unaweza kuisoma na kuitumia ndani ya kipindi hiki ambacho cha mpito. Bado utaweza kuendelea kuitumia baada ya kipindi hiki kuisha na utaweza kuitumia maisha yako yote. Na zawadi hii sio nyingine bali ni kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni (hardcopy).
Hata hivyo nimeona zawadi hii isije peke yake. Nimeona nikuongezee zawadi nyingine. Yaani zawadi juu ya zawadi. Pamoja na zawadi hiyo hapo nitaambatanisha vitabu hivi hapa
1. Tatizo Si Rasilimali Zilizopotea- Toleo La Kwanza (2017) 10,000/- 7,000/-
2. Nyuma Ya Ushindi 5,000/- 3500/-
3. Mambo 55 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanzisha Biashara 5,000/- 3500/-
4. Barua Ya Wazi Kwa Wazazi Na Walezi Wa Watoto 5000/- 3500/-
5. Jinsi Ya Kuibua Ubunifu Ulio Ndani Yako 7,000/- 5000/-
6. Makosa 10 Wanayofanya Wakulima Na Jinsi Ya Kuyaepuka Ili Kutengeneza Fedha Zaidi 5,000/– 3000/-
7. Tatizo Si Rasilimali Zilizopotea- Toleo La Pili (2019) 5,000 /- 3000/-
Hii ndio kusema kuwa vitabu hivi pamoja na nakala ngumu ngumu ya kutoka sifuri mpaka kileleni utavipata kwa shilingi elfu 28,500/- tu.
Wakati kama ungenunua nakala tete zote kwa bei yake halisi jumla ya bei ingekuwa ni 42,000 na kama ungeongeza bei ya nakala ngumu ya kutoka sifuri mpaka kileleni (ambayo gharama yake ni 10,000/-) basi gharama ya jumla ingekuwa ni 52,000/- elfu. Lakini badala yake utapata vyote hivyo kwa bei ya 28, 500/- tu
Hii kiukweli ni zawadi ya kipekee ambayo nimeona nnikupe ili ndani ya kipindi hiki cha mpito uweze kujifunza mambo muhimu ambayo yatakusaidia baada ya kipindi hiki kuisha
Jinsi ya kupata zawadi hii.
1. Nitumie sasa hivi ujumbe wenye jina lako na mahali ulipo, ili nikituma zawadi hii iweze kukufikia vizuri (kumbuka naituma kwa njia ya basi hivyo utanipa maelezo kamili ya wapi niitume). Usisahau kuambatanisha namba yako ya simu. Tuma kwa kubonyeza HAPA
2.Ukishatuma ujumbe huo, utapewa maelekezo ya kulipa.
3. Baada ya hapo utapokea nakala tete muda mfupi tu baada ya wewe kukamilisha malipo
4. Nakala ngumu utaipokea ndani ya masaa 24 kulingana na eneo ulipo.
Nakutakia kila la kheri, nitumie ujumbe sasa hivi ili nakala yako niiweke pembeni mapema.tum kupitia https://wa.me/255755848391
MUHIMU ZAIDI:
kwa wale ambao tayari wamenunua nakala ya kutoka sifuri mpaka kileleni. Nyie pia kuna zawadi yenu.
Mtapokea nakala tete zote kwa bei ya 25,000/- tu.
Kama utakuwa unahitaji nakala mojawapo nakala tete peke yake, utalipia bei ya zawadi ambayo imeandikwa hapo juu.
Chukua hatua sasa hivi, kwa kutuma ujumbe whasap kwenye namba 0755848391 au bonyeza hapa mara moja https://wa.me/255755848391