FAIDA ZA KUANDIKA AMBAZO UNAENDA KUZIPATA MARA MOJA


#GodiusRweyongeza
#kuandika #faidazakuandika #songambele
Moja ya yabia muhimu
ambayo unapaswa kuwa nayo ni tabia ya kuandika na kutunza kumbukumbu.
Kila unapoamka asubuhi
andika malengo yako ya siku husika
Kila jioni andika jinsi
siku yako ilivyokwenda na mambo muhimu ambayo umejifunza ndani ya siku husika. Hiki
ni kitu ambacho unaweza kufanya hata kama sio mwandishi wa vitabu. Pamoja na
faida nyingi za kuandika, zifuatazo utaanza kuzipata mara moja…

endelea YOUTUBE ili uweze kuiangalia video yote mpaka mwisho.
BONYEZA HAPALeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X