Habari njema sana kwako rafiki yangu.


 

Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. habari niliyonayo jioni ya leo ni kwamba vitabu vyangu vyote ambavyo ni vinapatikana kwenye mfumo wa nakala tete unaweza kuvipata kwa punguzo la asilimia 10 kwa kila kitabu kwa siku hizi zilizobaki kabla ya mwezi huu kuisha. Chukua hatua leo hii ili uweze kujipatia nakala mojawapo au zote kwa pamoja.

 

 

Vitabu vyenyewe ni

1. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (Volume 1) elfu 9 badala ya elfu kumi.

2. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (volume 2) elfu 4500 badala ya elfu 5.

3. TIMIZA NDOTO ZAKO elfu 9 badala ya elfu 10.

5. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO elfu 6300 badaa ya 7000.

6 NYUMA YA USHINDI elfu 4500 badala ya 5000

7.MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA utakipata kwa elfu 4500 badala ya 5000.

8. BARUA YA WAZI KWA WAZAZI NA WALEZI WA WATOTO utakiapata kwa elfu 4500 badala ya elfu 5.

9. MAKOSA 10 WANAYOFANYA WAKULIMA NA JINSI YA KUYAEPUKA elfu 4500 badala ya 5000

10. MAAJABU YA KUWEKA AKIBA (hiki ni kitabu changu kipya) elfu 3600 badalaya 4000.

 

 

Kwa yeyote ambaye atachukua nakala zote hizo kwa pamoja. Atapata zawadi ya bure ya nakala ngumu ya kitabu cha MAAJABU YA KUSOMA VITABU (toleo jipya la nakala ngumu) kutoka kwangu kikiwa na sahihi pamoja na barua ya pongezi.

 

 

Chukua hatua sasa hivi.

 

 

Chagua vitabu ambavyo unahitaji kupata sasa hivi,na ulipie kwenda 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA. Baada ya hapo utanitumia ujumbe wa vitabu ambavyo umelipia ili upokee vitabu hivi bila kuchelewa.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X