kama kuna kitu kizuri ambacho ungependa kuona kwenye maisha yako ila hukioni basi sababisha kiwepo


Ukiona kuna kitabu kizuri ambacho ungependa kusoma ila hakijaandikwa, basi kiandike wewe.

Ukiona kwamba kuna igizo zuri ambalo halijaigizwa, basi liigize wewe.

Kama kuna mziki ambao hujaimbwa, basi uimbe wewe.

Kuns biashara ambayo haijafanywa, basi ifanye wewe. (kumbuka inapaswa kuwa inakubalika kisheria.

Kitu chochote kizur ambacho ungependa kuona ila hukioni basi kitengeneze wewe. Kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X