Kila Biasahara Inapaswa Kuhakikisha Ina kumbukumbu Hii Hapa


[Enter Post Title Here]

 

 

Kila biashara inapasawa kuhakiisha kwamba inatunza kumbukummbu za mawasiliano na wateja wake, ili iweze kuwasiliana naye muda wowote ule hata pale ambapo hauonani na mteja wako.

 

Kwa hiyo kwa kila mteja anayekuja kwako basi hakikisha kwamba unatunza namba zake za simu au mawasiliano mengine ambayo mteja anatumia

Kama biashara yako ni ya mtandaoni basi hakikisha kwamba unatunza kumbukumbu za barua pepe na mawasiliano mengine ya mteja wako.

Baada ya hapo hakikisha kwamba kila mara unakuwa unawasiiana naye kujua anaendeleaje. Itakuwa vizuri pia ukijua vitu kama siku yake ya kuzaliwa n.k. ili uweze kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwake. Ni vitu vidogo lakini vyenye maana kubwa sana.

 

 

 

 

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X