PATA ZAWADI YA KITABU HAPA


Hivi  mwezi huu wa sita umepanga kusoma kitabu gani? kuna kitabu hiki hapa naona kitakufaa sana ndani ya mwezi huu hapa. kinaitwa 50 THINGS YOU SHOULD NEVER TAKE FOR GRANTED. unaweza kuendelea kwa 

BONYEZA HAPA ILI KUKIPATA

kama wewe hupendi kusoma vitabu vya kiingereza basi nimeandaa uchambuzi wake ambao unajitosheleza vizuri tu. unaweza kuusoma huu uchambuzi kwa kubonyeza hapa

hakikisha unautumia vizuri mwezi huu kwa kusoma kitabu  hiki cha kipekee sana.

chukua nafasi hii KUBONYEZA HAPA sasa ili kukipata hiki kitabu.

Ni mimi rafiki anayejali mafanikio yako,

Godius Rweyongeza

MOROGORO-Tz

0755848391
godiusrweyongeza1@gmail.com
songambele.smb@gmail.com


2 responses to “PATA ZAWADI YA KITABU HAPA”

  1. Inategemea unanunua hisa za kampuni gani. Kuna hisa ziko juu kwa bei na nyingine ziko chini.

    Hivyo kiwango kitatofautiana ila ukiwa na fedha ya hisa kumi, unaweza kununua.

    Iko hivi. Tuseme wewe unapenda kununua hisa za kampuni SMB (SONGA MBELE BLOG). Hahah! Halafu, hisa za kampuni hii zinazuzwa kwa shilingi 500 kila hisa. Hii ndiyo kusema kwamba ukiwa na elfu 5 Tu unaweza kununua hisa za kampuni hii.

    Na Kama utaoeuta kununua hisa za kampuni WIN, ambazo hisa moja inauzwa kwa shilingi elfu Saba, utatakiwa walau kuwa na elfu sabini ili uweze kununua kiwango Cha chini Cha hisa kumi.

    Ndiyo maana inashauriwa Sana wakati unachagua kununua hisa, usichague zile ambazo zina Bei kubwa hasa kwa wewe unayeanza. Chagua zenye Bei ndogo ila zina mwelekeo was kukua.

    Kwa mifano yetu miwili happy juu, hisa za kampuni ya SMB, Kama zina mwelekeo was kukua zinaweza kuwa nzuri kwa mtu anayeanza.

    Najua wengi wanaposikia kuhusu hisa wanajua unapaswa kuwa na fedha kuubwa, ila ukweli ndio Kama unavyouona hapo. Hakuna mbwembwe zaidi. Ushindwe wewe tu.

    Nakushauri Sana, upate ebook yangu inayoitwa MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA. kwa elfu 4 tu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X