Vitu Nane (08) Vidogo Ambavyo Unaweza Kuanza Kufanya Leo, Vikaongeza Thamani Yako Na Ya Watu Wengine


HONGERA sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. leo hii nimeona nikultee vitu vitano ambavyo ukianza kufanya leo hii vitaongeza thamani yako na thamani ya maisha ya watu wengine pia

1. Kutabasamu

2. kusema maneno chanya kuhusu watu

3. kusoma kurasa kumi za kitabu kila siku

4. kuvuta hewa kwa nguvu unapoamka asubuhi.

5. kuandika malengo yako

6. kubariki kitu kizuri unachoona.

7. kuwafundisha watu kitu kizuri ambacho kinawainua na kuwakwamua

8. kushukuru.

 

Anza kuvifanyia kazi leo hii. Matokeo yatafuata muda si mrefu.




Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X