Aina Tatu Za Wateja Ambao Utakutana Nao Kwenye Biashara Yako


 

kupata kitabu hiki hapa bonyeza maandishi haya hapa https://www.getvalue.co/home/product_details/akili_ya_diamond

 Kwenye biashara yoyote ile ambayo utaamua kufanya, kuna aina tatu za wateja ambao unaenda kukutana nao.

Kwanza, ni wale wateja warioridhika na wapo tayari kumwambia mtu yeyote kuhusu biashara yako ili aje kununua kwako. aina hii ya wateja ni wale ambao wataendelea kuja kununua kwako mara kwa mara.

 

Aina ya pili ya wateja ni wale walioridhika kwa huduma uliyowapa ila hawapo tayari kurudi tena kununua kwako na wala hawapo tayari kuwaambia wengiine ili waje kununu kwako kwa mara ya pili.

 

Aina ya mwisho ya wateja ni wale ambao hawakuridhika wala kufurahia huduma yako. Aina hii ya wateja ni wale ambao wanaweza kuharibu kabisa jina la biashara yako.

 

Rafiki yangu hizi ndizo aina tatu za wateja utakaokutana nao kwenye biashara yako. Kikubwa zaidi unachohitaji kufahamu ni kuwa unapaswa kuwahudumia wateja wako vizuri. Kwa wale wateja ambao hawataridhika basi wewe usiweke nguvu zako kwa hao ambao hawajaridhika, badala yake weke nguvu kubwa kwa wale ambao wameridhika. Kila la kheri.

Hakikisha umesubscribe kwenye channel yangu ya YOTUBE ili kupata mafunzo zaidi. fanya hivyo kwa kubonyeza hapa

Kupata vitabu vyangu BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X