Chanzo cha umasikini wako


 Chanzo Cha Umasikini Wako

Chanzo kikubwa cha umasikini ambao unawakumba watu walio wengi ni kutojulikana. Yaani, hawajulikani wao ni akina nani?

Hawajulikani wanatoa huduma gani au wana suluhisho gani kwa jamii?

Hawajulikani wana upekee gani, yaani wapo wapo tu.

Epuka mtego huu kwa kuhakikisha unajulikana kwa kazi unayofanya kuanzia leo hii.

Kitabu Cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI kipo ili kukusaidia wewe hapo kwenye hili hapa. 

Pata nakala yako leo hii kwa gharama ya 10 tu. Wasiliana nami kupitia 0755848391 popote pale ulipo duniani


One response to “Chanzo cha umasikini wako”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X