Fanya Kitu Hiki Hapa Kama Unataka Kufanikiwa


 

Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii nyingine na ya kipekee sana. Siku ya leo nimeona nikwambie kitu hiki kimoja ambacho kitabadili mtazamo wako kwenye mambo mbalimbali ambayo unafanya hapa duniai. Na kitu hiki ni kwamba kama unataka kufanikiwa basi kuwa mtu wa thamani.

Jiongezee thamani yako kwenye kile ambacho unafanya. Fanya kile unachopswa kufanya kwa ubora wa hali ya juu kiasi kwamba hakuna mtu mwingine ambaye anaweza kufanya kama wewe hapo.

Nakuhakikishia kwamba ukiwa mtu wa thamani kubwa basi ni wazi kuwa hautashindwa kufanikiwa.

Kila la kheri


Subscribe kwenye YouTube Channel Yangu kwa kubonyeza HAPA
Kupata vitabu vyangu Bonyeza HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X