Hakuna kitu cha bure. Ukiona mtu anakualika alika ili akupe cha bure basi jua kuna sehemu unaenda kuliwa.
Amia sasa kuwa unaenda kulipa gharama kupata unachotaka. Vitu vizuri vyote sharti vilipiwe.
Shauri yako!! Unadhani waliosema Vya bure vinaua hawakuuona ukweli?
Imeandaliwa na Godius Rweyongeza
Tangu nimezindua kitabu cha AKILI YA DIAMOND, watu wamekuwa wakiniuliza maswali mengi Kuhusu hiki kitabu.
Leo hii nimejibu hayo maswali hapa
https://youtu.be/R_qHO1B3zFg
Kupata kitabu chenyewe cha AKILI YA DIAMOND bonyeza hapa
https://www.getvalue.co/home/product_details/akili_ya_diamond