Hii Akili Ya Diamond, Ndio Akili gani?


Juzi niliandaa somo lililokuwa na mkusanyiko wa maswali ambayo watu wanauliza sana kuhusu kitabu cha Akili Ya Diamond

Lakini swali ambalo limeendelea kujitokeza ni swali la je, hii Akili Ya Diamond, ndio akili gani haswa?

Kiufupi ni kuwa kuna mambo 50 ambayo yote kwa pamoja yanatengeneza akili moja ya diamond. Na mambo nayo yote 50 yamegawanyika katika vipengele vikubwa vitatu.

KIPAJI

UBUNIFU na 

MAFANIKIO

Ukipata nakala ya kitabu ni utaweza  kujifunza mengi.

 Sasa kama nina akili yangu, Akili Ya Diamond ya nini?

Ukichukua kitabu hiki hapa kuna vitu vitatu vikubwa utapata.

1. Utapata Kujua Kuhusu kipaji (kukigundua, kukinoa na kukiendeleza. Utajifunza moja kwa moja kutoka kwa Diamond)

2. Ubunifu (jinsi ya kutumia ubunifu kwenye kazi yako na kufanya makubwa. Utajifunza kwa Diamond anavyotumia ubunifu kwenye kazi zake)

3. Mafanikio (hapa ndio tutaona Jinsi kipaji na ubunifu vitakavyoweza kukufikisha kwenye Mafanikio makubwa)

Jipatie nakala yako leo hii kwa kubonyeza hapa

Nakala ni elfu sita tu.

SIKILIZA HAPA: Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara Kuhusu Akili Ya Diamond

#akiliyadiamond


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X