Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya kipekee. Leo napenda tu nikushirikishe kuhusu sifa moja kuu ya kitabu bora.
Sifa hii ni kuwa, kitabu bora unapaswa kukirudia kukisoma mara kwa mara bila kuchoka, huku ukijifunza mambo mapya na mazuri ambayo utafanyia kazi. Hiyo ndio sifa ya kitabu bora. Ukipata ya kitabu kama hiki hapa, basi kitumie vizuri. Kisome mara kwa mara na fanyia kazi yale uliyojifunza kwenye hicho kitabu.
Moja ya kitabu chenye hizo sifa ninachofahamu mpaka leo hii ni kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Kitabu hiki ni cha kipekee sana na kimejaa mafunzo muhimu kwa ajili ya mafanikio yako.
Kina mafunzo ya kukutoa hapo ulipo, yaani SIFURI. Mpaka kukufikisha unapotaka kuwa (KILELENI).
Jipatie nakala yako leo kwa kuwasiliana nami, kupitia 075584838391 leo. Utapata kitabu bila kujali upo sehemu gani au nchi gani hapa duniani.
Kila la kheri