Hivi Ndivyo Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni Kinaweza Kufika Mezani/Nyumbani Kwako Leo Hii


 

Rafiki yangu, bila shaka umekuwa na siku njema sana. 

Mwanzoni mwa mwa mwaka huu nilizindua kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Kitabu hiki cha kipekee kimewafikia wengi mpaka sasa na kila mtu ambaye amekipokea kitabu hiki hapa amethibitisha kuwa kitabu hiki hapa kimemsaidia mambo makubwa sana. 

Mfano mzuri ni huyu hapa

 Safi kabisa mkuu,hongera sana kwa kazi nzuri Godius.


Jana kuna mzee alikuja CitymaxBookShop(Iringa) kutushuhudiaJinsi kitabu chako cha “Sifuri mbaka Kileleni” jinsi kilivyomsaidia hasa hasa katika ile hatua ya kufungua Kampuni yake.


Hongera sana kwa kugusa maisha ya watu.

Bila shaka ninajua kwamba hayo ndio mafanikio yako.

Kama unavyoona, huyu ndugu kutoka Iringa, kitabu hiki kimemsaidia sana katika kuanzisha kampuni yake. Na huyu ni mmoja kati ya wale waliosoma kitabu hiki na kunufaika na kitabu hiki.

Ombi langu ni kuwa na wewe kitakusaidia kufanya makubwa Zaidi. Sasa unachopaswa kufanya leo hii ni kuhakikisha unajipatia nakala yako. 

Nakala ya kitabu hiki ni 10,000 tu. 

Baadhi ya mikoa ina mawakala, hivyo unaweza kukipata mkoani mwako. Kwa mikoa ambayo haina mawakala, nitakutumia mpaka kitakufikia ulipo kwa gharama ya elfu 15 tu.

Wasiliana nami sasa kaa 0755848391 ili tuone utaratibu wa kufikisha kitabu hiki kwako leo hii.

Kupata vitabu vyangu vingine BONYEZA HAPA

Imeandaliwa na 

GODIUS RWEYONGEZA

0755848391 

MOROGORO

BONYEZA HAPA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU YA YOUTUBE

   


One response to “Hivi Ndivyo Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni Kinaweza Kufika Mezani/Nyumbani Kwako Leo Hii”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X