Hivi ndivyo unaweza kumfundisha mwanao Kuhusu fedha (Njia 6 zisizoshindwa)


 Hivi ndivyo unaweza kumfundisha mwanao Kuhusu fedha (Njia 5 zisizoshindwa)

Rafiki yangu, karibu leo naenda kukushirikisha vitu vichache unavyopaswa kutumia kama sehemu ya kumfundisha mwanao masuala ya fedha.

1. Mpe fedha zake mwenyewe azishike na kukaa nazo. 

2. Kama unaenda kuwekeza, badala ya wewe kuwekeza na kumpa taarifa. Nenda naye ili muwekeze kwa pamoja.

3. Mruhusu aanzishe kijibiashara hata kama ni kidogo au kinaonekana cha kijinga. 

. Muelekeze jinsi ya kuigawa fedha yake kwenye mafungu muhimu. Yaani, Akiba, dharula, elimu, fungu la kumi na matumizi.

4. Nunua na soma naye vitabu. 

5. Jadiliana naye masuala mbalimbali Kuhusu fedha.

Rafiki yangu, fanya hayo, kisha urudi hapa kutupa taarifa.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ($ongambele)

0755848391

Nakutakia siku njema


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X