Kama Hukupata Kitabu Cha Akili Ya Diamond Fanya Hivi Sasa Hivi


 

 

Habari ya siku hii rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Tarehe 17/8/2020 ilikuwa ni siku ambayo kitabu cha akili ya diamond kilizinduliwa rasmi. Kitabu hiki hapa ni kitabu cha kipekee kimeeleza vitu 50 ambavyo wewe hujui kuhusu akili ya Diamond Platnumz.

Na vitu hivi hamsini kwa pamoja tunaweza kuviweka katika maeneo mtatu, ambayo ni KUHUSU KIPAJI, KUHUSU UBUNIFU NA KUHUSU MAFANIKIO.

Inawezekana unaposoma hapa, bado hujapata kitabu hiki hapa. leo hii ningependa nikupe utaratibu tu wa kawaida wa kukipata.

Kwanza nipende kukutaarifu kuwa ile ofa ya kupata kitabu hiki imerudi tena, kwa wiki moja tu.

Ambapo utaweza kupata kitabu hiki tena kwa shilingi elfu 3 tu badala ya elfu 6.

 

Pili, napenda kukwambia kwamba kitabu hiki hapa unaweza kukipata kwenye mtandao wa GETVALUE kwa kubonyeza hapa.

 

Tatu nipende kukwambia kuwa hii ofa ya kupata hiki kitabu hiki kwa hii bei ya 3,000/-, haitajirudia tena. Mwisho wa ofa hii ni Alhamisi ya tarehe 27, saa sita usiku.

Chukua hatua sasa ili uweze kupata hii ofa.

 

Bonyeza hapa

KUJUA ZAIDI KUHUSU KITABU, BONYEZA HAPA

JIUNGE NAMI KWENYE CHANNEL YA YOUTUBE ILI UWE UNPATA MAFUNZO KILA SIKU KWA KUBONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X