KITABU; AKILI YA DIAMOND


 KITABU: AKILI YA DIAMOND

Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki. Hongera kwa kupata nafasi ya siku hii nyingine ya kipekee sana.

Leo ninakuletea kitabu cha AKILI YA DIAMOND. Mambo 50 usiyoyajua Kuhusu Akili Ya Diamond Platnumz.

Unaweza kujiuliza kiufupi hiki ni kitabu cha aina gani. Kiufupi hiki ni kitabu ambacho kimebeba vitu vikubwa vitatu.

KIPAJI.UBUNIFU.MAFANIKIO.

Hivyo tu.

Katika kurasa za kitabu hiki utajifunza kunoa kipaji chako kama Diamond Platnumz.

Utajifunza pia ubunifu. Na hapa unaenda kukutana na njia zilezile ambazo Diamond anatumia. 

Na kama utazitumia njia hizi kiusahihi basi zitakupelekea kwenye mafanikio makubwa.

Yaani, ukisoma kitabu hiki ni kama unakuwa umeiiba AKILI YA DIAMOND na kuileta kwako. 

Na hapo ndipo inakuja hiyo dhana ya vitu vitatu utakavyojifunza kwenye kitabu, Kuhusu KIPAJI. UBUNIFU. MAFANIKIO.

Kitabu hiki kinapatikana kwa nakala laini. Na gharama ya kitabu hiki hapa ni 6,000/-.

Kipate leo hii kwa kufuata maelekezo yafuatayo.

1. Lipia 6,000 kwa namba 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA

2. Baada ya kulipia nitumie ujumbe wenye jina lako ili nikutumie kitabu. Utapokea kitabu bila kuchelewa mara baada ya kulipia.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X