Mtandao wa intaneti umerahisisha sana suala zima la kujifunza.
Vitu ambavyo kwa siku za nyuma vingekugharimu sana, leo hii unaweza kuvipata kinganjani mwako kwa bando unalonunua.
Muda mwingine unaweza kupata maarifa haya ya kipekee bure kabisa kwa kutumia bando la rafiki, kampuni unapofanya kazi, au chuo unaposoma.
Jitahidi sana kadiri uwezavyo kutumia hii nafasi kujifunza ujuzi mpya mtandaoni.
Badala ya kutumia intaneti kupakua tu tammhiliya. Itumie kujifunza vitu vya maana.
imeandaliwa na
Godius Rweyongeza
0755848391
Jiunge nami youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Pata vitabu vyangu kwa KUBONYEZA HAPA
Kupata makala maalumu kwa watu maalumu basi BONYEZA HAPA