OFA YA VITABU, SIKU YA KUZALIWA KWANGU (vitabu vyote ni nakala laini, isipokuwa…)


Leo tarehe tano ni siku yangu ya kuzaliwa. Kwenye hii siku nimeona nikupe punguzo kwenye vitabu vyangu. Na hapa chini kuna orodha ya vitabu vyangu vyote pamoja na bei zake. Halisi kabla ya punguzo.

 

Kila kitabu kinaenda kupunguzwa kwa asilimia 20 tu. Na hii ofa ni kwa vitabu ambavyo vipo hapa tu.

 

  1. Tatizo Si Rasilimali Zilizopotea (Toleo La Kwanza) bei halisi ni elfu 10,000. Bei ya ofa ni 8,000 tu

 

  1.  Nyuma Ya Ushindi. (Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni 4,000)

 

  1. Mambo 55 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanzisha Biashara. (Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni 4,000)

 

  1. Jinsi Ya Kuibua Ubunifu Ulio Ndani Yako. (Bei yake halisi ni 7,000. Bei ya ofa ni 5,600)

 

  1. Kama Unataka Kuwa Tajiri. (Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni 4,000)

 

  1. Barua Ya Wazi Kwa Wazazi Na Walezi Wa Watoto. (Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni 4,000)

 

  1. Makosa Kumi (10) Wanayofanya Wakulima Na Jinsi Ya Kuyaepuka Ili Kutengeneza Fedha Zaidi. (Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni 4,000)

 

  1. Maajabu Ya Kusoma Vitabu (toleo lililoboreshwa zaidi) (Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni 4,000)

 

  1.  Maajabu Ya Kuweka Akiba(Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni 4,000)

 

11. Tofauti 50 Kati Ya Matajiri Na Masikini (Bei yake halisi ni 5,000. Bei ya ofa ni

4,000)

 

12. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (kitabu cha 2) bei ya kitabu hiki hapa ni 5,000/- ila kwa leo utakipata kwa shilingi 4,000 tu.


Hii ni kwa siku ya leo, yaani leo tarehe 5 AGOSTI 2020. Baada ya hapo haitakuwepo tena

KWA kitabu chochote kile ambacho umechagua kati ya hivyo hapo. utafanya malipo kupitia namba ya simu 0755848391. 
ikumbukwe kuwa ofa hii haijajumuisha baadhi ya vitabu vyangu kama KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI, ambacho kitaendelea kupatikana kwa nakala ngumu. ila kwa yeyote atakayechukua nakala laini hizo zote, atajinyakulia na zawadi ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI (hard copy)


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X