Pata nakala ya kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA |
Rafiki yangu karibu sana katika ukurasa huu ambapo unaenda kupata shuhuda za kweli kutoka kwa watu waliosoma kitabu cha Akili ya Diamond.
kizuri na kinatoa hamasa sana ya kupiga hatua na kufanikiwa sana.
Changamoto niliyonayo ni kwamba nimeshaamua nataka kuwa mjasiriamali
mkubwa mwenye kumiliki fedha nyingi kupitia biashara na uwekezaji.
Kwenye kuwekeza sina shida sana. Ninafahamu portfolio mbalimbali za
kuwekeza kuanzia UTT, hatifungani, ardhi na majengo pamoja na hisa.
Changamoto yangu ni biashara gani nijikite humo kikwelikweli kama
Diamond ili niweze kusonga mbele kama mjasiamalim na mwekezaji???
Ahsante sana
Mwanamafanikio
Felix M
Ni Kitabu kizuri, kinayo mafundisho mengi mazuri ambayo unaweza kuyatumia katika kukufikisha eneo ambalo unataka kufika. Nimekisoma na nimekielewa vizuri. Kwa mapendekezo yangu – Waandishi wetu mngeweza kuwa mnaandika pia habari kama hivi za Watanzania wenzetu waliofanikiwa kwa jambo lolote- nafikiri lipo kundi kubwa lingeendelea kupata hamasa katika kuyatafuta kwa bidii mafanikio kulingana na mazingira yetu halisi. Alex / Geita.
Ahsante, uwe na jioni njema. tayari umesoma kitabu hiki na una kitu chochote ungependa kusema baada ya kuwa umekisoma, basi unaweza kuniandikia kupitia songambele.smb@gmail.com
One response to “SHUHUDA ZA KWELI KUTOKA KWA WASOMAJI WA KITABU CHA AKILI YA DIAMOND”
[…] Maoni mengine kuhusu kitabu CHA AKILI YA DIAMOND haya hapa […]