Habari ya leo Rafiki yangu. Leo ni siku ya 122 tangu mwaka huu uanze. Zimebaki siku 144 tu.
Bado una nafasi ya kufanya makubwa ndani ya mwaka huu.
Leo hii nimeona nikupitishe tu kwa ufupi kwenye masomo tuliyoona ndani ya wiki hii kupitia mtandao wa YouTube.
Kama kuna somo ulilikosa basi chukua hatua ya kuliangalia leo. Baada ya kualiangalia hakikisha UMESUBSCRIBE na watumie wengine pia.
1. Siri Saba Za Kupata Mafanikio yanayodumu
Siri Saba 07 Za Kutengeneza Mafanikio Ya Kudumu
2. Masomo 21 Kutoka Kwa Wajasiliamali 11 Wa Karne Ya 21
3. Kazi Yako Kama mjasiliamali
4. AKILI YA DIAMOND. Vitu Kumi 10 Usivyojua Kuhusu Akili Ya Diamond Platinumz
Hayo yalikuwa ni mafunzo mapya ya wiki hii.
Hakikisha umesubscribe.