WIKI HII KWA UFUPI: Mambo Muhimu Tuliyojifunza Ndani Ya Juma la 34


 WIKI HII KWA UFUPI: Mambo Muhimu Tuliyojifunza Ndani Ya Wiki Hii 

Ni siku ya 236 sasa, tangu mwaka huu uanze. Huku zikiwa zimebaki siku 130 tu. Hiki Kitu kinapaswa kukufanya ujitume Zaidi kuhakikisha unafikia malengo yako mwaka huu.

Ni vizuri pia ukafanya tafakari ya kina juu ya malengo ya mwaka huu. Uko wapi mpaka sasa hivi?

Kiukweli wiki hii imekuwa ya kipekee sana kwa upande watu. Tumejifunza mengi.

Kaa wewe Rafiki yangu kuna somo ulikosa ndani ya wiki hii, basi leo nimekuandalia mchanyato wenye mkusanyiko wa masomo yote ya wiki hii.

Na masomo yenyewe ndiyo haya hapa.

1. Aina Nne Uhuru Unaopaswa Kuwa Nao

2. 

3. Aina Tatu Za Zawadi Unazoweza Kutoa Siku Ya Birthday

4. Tabia Saba Ambazo Kila Kijana Anapaswa Kuwa Nazo- 1

5. USIMDHARAU MTU KWA SABABU YA MWOMEKANO WAKE


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X