*WIKI HII KWA UFUPI*
Habari ya jumapili ya leo rafiki yangu.
Karibu tena kwenye makala hii ya wiki hii kwa ufupi. Ikiwa ni siku ya 229. Zimebaki siku 137 mwaka huu uishe.
Leo tutapata nafasi ya kuangalia mafunzo ya wiki hii nzima, kiufupi.
7. *Aina Nne Za Uhuru Unaopaswa Kuwa Nao*
6.SIKILIZA AUDIO HII KWA MWEZI HUU MZIMA KILA SIKU ASUBUHI
5. Viashiria Viwili Kuwa Unapoteza Muda Kwenye Simu.
4. *Vitu Vitatu Ambavyo Hupaswi Kujadiliana Na Watu*.
3. Kusoma Vitabu vs Kuangalia Runinga. Faida Za Kusoma Ambazo Huwezi Kuzipata Kwingine .*
2. *NJIA 13 Unazoweza Kutumia Kuwafanya Watoto Wapende Kusoma Vitabu*
1. Ikumbukwe kuwa tunaianza wiki Mpya. Hivyo ANGALIA HII kujua namna ya kuianza wiki yako kiusahihi