Ebu Na Wewe Pata Muda Wa Kushangaa Hili Hapa


 

 

https://www.getvalue.co/home/product_details/maajabu_ya_kuweka_akiba
Jipatie nakala ya kitabu hiki hapa kwa KUBONYEZA HAPA

Kuna baadhi ya watu ambao wanakumbuka magoli aliyofunga mchezaji wa timu fulani kwa miaka hata kumi iliyopita. Wengine wanafahamu kwa uhakika kuhusu mwenendo wa timu fulani kuanzia miaka ya 1960 mpaka leo hii, lakini watu hao hao ukiwauliza mwenendo wa maisha yao ya kifedha kwa mwezi mmoja uliopita, hawawezi kukupa jibu la uhakika. Hawajui kwa mwezi mmoja ulipita wameigiza kiasi gani. na kama wanajua waliingiza kiasi gani basi hawajui hicho kiasi kilitumikaje?

 

Kuna watu wakianza kuuchambua muziki ulioimbwa na mwanamziki fulani kiudani, utashangaa. Wengine wanaweza kutathimini mwenendo wa siasa ya ndani au nje ya nchi kwa viwango vikubwa ila waulize watathimini maisha yao binafsi, utashangaa kuona hawajui.

Kitabu cha Maajabu  Ya Kweka Akiba kimekuja na suluhisho kwa hili hapa, unaweza kujipatia nakala ya kitabu hiki hapa kwa shilingi elfu 7 tu.

Chukua hatua sasa ili ujipatie nakala hii ya kipekee. BONYEZA HAPA

https://www.getvalue.co/home/product_details/maajabu_ya_kuweka_akiba

 

Kila la kheri.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X