Kama unataka kushika fedha nyingi, anza kwanza kutumia vizuri fedha kidogo ulizonazo.
Ukishindwa kutumia vizuri fedha kidogo kwa uamimifu, ujue wazi hata fedha kubwa zitakushinda.
Pata nakala ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA sasa ili ujifunze jinsi ya kutumia vizuri kiasi kidogo unachopata. BONYEZA HAPA
Kitabu kinapatikana kwa elfu 7 tu.
Godius Rweyongeza (Songambele)
Morogoro-Tz
0755848391